May 18 2016 tv nyingi za Afrika zilipata nafasi ya kupiga au kuonesha video mpya ya mrembo kutoka Nigeria Yemi Alade akiwa kamshirikisha mkali mwingine kutoka Nigeria Mr Flavour, Yemi Alade ameachia video mpya inaitwa ‘Kom Kom’ enjoy dakika 3 na sekunde 55 za video hiyo.
VideoMPYA: Yemi Alade ft Mr Flavour ‘Kom Kom’ imeachiwa leo May 18 2016

No comments: