» » Uliisikia ishu ya Nikki wa Pili kumuandikia Mistari Joh Makini? Nikki wa Pili kayazungumza haya




Kama ulikuwa umewahi kuzisikia story za Nikki kumuandikia Joh Makini mistari leo Nikki mwenyewe kaamua kulizungumzia.

Kutoka kwa Perfect Crispin ambaye ni mtangazaji wa Clouds FM ametusogezea stori hii ya Nikki wa Pili na zingine zinazomhusu Vannessa Mdee kuzungumzia wanawake kubaniana wenyewe kwenye game ya muziki pamoja na story ya Nahreel kutoa ufafanuzi wa suala la Rapper Chin Beez kutopewa Credit baada ya kuandika ngoma ya Navy Kenzo.

About Unknown

Hi there! I am Hung Duy and I am a true enthusiast in the areas of SEO and web design. In my personal life I spend time on photography, mountain climbing, snorkeling and dirt bike riding.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply