» » Instagram: Muonekano mpya wa msanii Juma Jux



Kama wewe utakuwa mpenzi wa kufuatilia style za wasanii kuanzia mavazi mpaka Life style zao basi hii isikupite mtu wangu May 19 2016 msanii kutoka kiwanda cha bongoflevani Juma Jux amezichukua headline kutokana na muonekano wake mpya wa nywele.

Jux aliyaandika maneno haya chini ya picha aliyopost kwenye mtandao wake wa Instagram>>>’Sometimes you have to believe in yourself and do what you want, uwezi kupendwa na wote na uwezi kumfuraisha kila mtu #jiamini #hapo #wivu #aftricanboy‘ Usisahau kuniachia comment yako hapa mkali huyu ataiona.



ULIIKOSA HII BAADA YA POST ZA SHILOLE KUINGIA KWENYE HEADLINES WENYEWE WALIPOYAZUNGUMZA HAYA? BONYEZA PLAY HAPA CHINI…

About Unknown

Hi there! I am Hung Duy and I am a true enthusiast in the areas of SEO and web design. In my personal life I spend time on photography, mountain climbing, snorkeling and dirt bike riding.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply