Mwimbaji staa wa bongofleva Alikiba amefika nchini Afrika Kusini ambako yupo kwa ajili ya kutia saini kwenye dili zake saba mpya ambazo zitamchukua yeye na bongofleva kwenye hatua nyingine kubwa ya kimataifa,check hapa live kinachoendelea
VIDEO: Mcheck Alikiba hapa kwenye Dili zake saba mpya kutoka Johannesburg South Africa

No comments: