Agness Marwa ni mbunge viti maalum CCM ambaye hivi karibuni ametembea sana kwenye Whatsapp za watu na mitandao mingine ya kijamii kupitia video yake akisema anatamani kulia na anasikia uchungu wakati akichangia kwenye hotuba ya wizara ya habari utamaduni, sanaa na michezo katika bunge la 11.
Kwenye hizo dakika alizungumzia pia ishu ya bunge kutorushwa live, baada ya hapo AyoTV imempata kwenye Exclusive Interview kujua mengine kutoka kwake, tazama kwa kubonyeza play hapa chini.
ExclusiveVIDEO: Mbunge Agness Marwa aliyetamani kulia bungeni ahojiwa na AyoTV

No comments: