Bado headlines za Bunge zinaendelea kutufikiakila kukicha, na May 17 2016 Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano iliwasilisha hotuba yake ya mapato na matumizi ya fedha kwa mwaka 2016/2017 Kazi iliyofanywa na Waziri wake Makame Mbarawa.
Katika michango ya bajeti nakukutanisha na Mbunge wa Kilwa Kusini Suleiman Bungara maarufu kwa jina la ‘Bwege‘ ambaye mara nyingi husifika kwa style yake ya kuchekesh wakati wa kuongea alipopata nafasi ya kuchangia alikuwa na haya..
VIDEO: Cheka kidogo na huyu Mbunge anayejiita ‘Bwege’ na hivi vituko vyake Bungeni

No comments: